TAMBUA VINYWAJI VYA KUNYWA UKIWA MJAMZITO.

1
19631

Kuna vinywaji ambavyo ni maarufuku kwa wajawazito kutumia kwa sababu ya mchanganyiko unaofanya vinywaji hivyo. Ni muhimu kujua hayo kwa sababu ya afya yako na ya mtoto, kwa uzazi salama. Vinywaji vya kuepuka ni kama ifuatavya;

  1. Pombe za aina yote
  2. Vinywaji vyenye kafeini
  3. Maziwa mabichi.
  4. Na vinywaji vyote vyenye vitunzio (preservatives)

Vinywaji hivyo huathiri afya ya mtoto, anaweza kuzaliwa na magonjwa fulani kwa mfano maziwa mabichi husababisha bakteria kwa mtoto na kumwambukiza magonjwa yatokanayo na bakteria. Pombe na vinywaji vyenye kafeini hugeuka kua sumu kwa mtoto na hivyo hudhuru afya ya mtoto. Kunywa maji safi na salama kwa wingi, na juisi ya matunda.

1 COMMENT

LEAVE A REPLY