UMUHIMU WA WATOTO KULALA MCHANA

0
3473

Wazazi wengi huwalazimisha watoto kulala mchana bila kujua umuhim wa kufanya ivo, wengine hawajui na wala hawafanyi jitihada za kuwalaza watoto mchana. Wengine hufanya ivo kupunguza vurugu na mikimiki ya watoto, Wengine wanafanya kwa sababu ya mazoea, kuiga kwa majirani na sababu nyingi zingine. Tambua umuhim wa mtoto kulala mchana;

  • Husaidia ukuaji wa mtoto hasa wa ubongo na viungo vya mwili
  • Inaongeza ubunifu na ufanisi katika shule na maeneo mengine
  • Inaongeza uwezo wa kujifunza na kumbukumbu
  • Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo

Kwa sababu izo ni muhimu sana wazazi kuhimiza watoto kulala mchana kwaajili ya afya bora na ukuaji bora. Tunaweza kutoona faida yake mara moja lakini baadae tukaona matokeo  makubwa hasa kwenye ukuaji wao na uwezo wa akili zao darasani, fikra zao na mambo yanayoendana na kuepuka magonjwa kama vile ya moyo. Mhimize mtoto alale mchana kwaajili ya afya bora.

LEAVE A REPLY