30 C
Dar es Salaam

Afya & Magonjwa

UJUE UGONJWA WA KANSA KWA WATOTO

          UJUE UGONJWA WA KANSA KWA WATOTO Ugonjwa wa kansa unatokana na seli za kawaida kubadilika na kukua katika hali ambayo haiwezi kuzuilika. Seli hizi hutengeneza uvimbe. Uvimbe wa kansa unaweza kusambaa kwenye sehemu nyingine za mwili tofauti na uvimbe wa aina nyingine za magonjwa ambao hazisambai katika sehemu nyingine za mwili. Kansa kwa watoto inaweza...

Namna ya kumhudumia mtoto wako awapo na mafua

Jinsi ya kumhudumia mtoto wako mwenye mafua Punguza speed ya kutokwa na makamasi kwanza. Mtoto kuwa na mafua huwa ni kitu cha kawaida, na kugundua utaanza kuona anatokwa na makamasi muda wote na hizi dalili unaweza kuziona zinadumu kwa muda wa wiki moja au mbili basi ukiona hivyo basi ujue mtoto wako ana mafua. Makamasi kwanza yataanza...

Dawa ya Kikohozi na Mafua kwa watoto kuanzia miaka miwili

Dawa ya Kikohozi na mafua kwa watoto kuanzia miaka miwili. Kwa muda mwanangu amekuwa anasumbuliwa na kikohozi tena kile kikavu cha kuumiza kifua.Niliandikiwa dawa hospital mtoto akaitumia mpaka ikaisha lakini hakupona.Mtoto anakohoa mpaka usiku anashindwa kulala.Akila chakula akianza kukohoa mpaka anatapika. Ndioo nikamtenezea dawa hii Asali,tangawizi mbichi,na limao. Tangawizi unatwanga inakuwa laini baada ya hapo unaweka kwenye kibakuli...

Asali Si Salama kwa Watoto Wadogo

Asali Kwa Mtoto Mdogo Ni Hatari Watu wengi hudhani asali ni dawa na chakula cha asili chenye faida nyingi kiafya.Kwanza huamini ni dawa ya maraadhi mengi na ni chanzo cha virutubisho vinavyo urejeshea mwili utendaji wake wa kazi wa asili. Wataalamu wa afya wanakubaliana na hizi imani kwa mda mrefu katika jamii, lakini wanaonya kuwa si...

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read