30 C
Dar es Salaam

Chakula na Lishe

Kwa nini watoto hucheua mara kwa mara?

Kwa nini watoto wanacheua kila mara? Yaani hii kwanza ni ishara kwamba ameshiba. Ujue watoto wengi huwa wana hii tabia ya kucheua kwa hiyo usidhanie ni mtoto wako tuu, na muda ambao watoto huwa wanacheua sana ni wakiwa umri wa miezi minne. Watoto wengine huwa wanakula kidogo na kulingana na size yao na kuna wengine wao...

Lishe kwa watoto wa siku moja mpaka miezi sita

Lishe kwa watoto Kufanya maamuzi maalum juu ya lishe ya mwanao ni kitu muhimu sana. Lishe bora ni muhimu sana na wadau wengi wa afya ya watoto ikowemo shirika la chakula duniani (WHO) wanasisitiza na kuhamasisha wazazi kufikiria kuhusu maamuzi watakayofanya juu ya lishe ya watoto wao kama maamuzi ya afya. Msingi wa afya bora...

Asali Si Salama kwa Watoto Wadogo

Asali Kwa Mtoto Mdogo Ni Hatari Watu wengi hudhani asali ni dawa na chakula cha asili chenye faida nyingi kiafya.Kwanza huamini ni dawa ya maraadhi mengi na ni chanzo cha virutubisho vinavyo urejeshea mwili utendaji wake wa kazi wa asili. Wataalamu wa afya wanakubaliana na hizi imani kwa mda mrefu katika jamii, lakini wanaonya kuwa si...

Namna ya Kupika Butternut Jam

Mahitaji Boga ¼ Karoti 1 ndogo Kiazi kitamu ¼ Maziwa kikombe kidogo Matayarisho na Upishi Katakata vitu vyoote na uvioshe vizuri kabisa kisha bandika jikoni vichemke mpaka kuiva. Vikishaiva viaipue vipondeponde, vikilainika ila sio ile ya kuwa uji uji sana.Miminia maziwa na ukoroge vizuri ili kuvichanganya.Kisha viweke kwenye bakuli ya mtoto tayari kuliwa.Unaweza kukifanya laini zaidi...

Namna ya kuandaa matunda mchanganyiko: Embe na Nanasi

Mahitaji Embe 1 Nanasi ¼ Matayarisho Chukua embe lioshe na kata kile  kipande  cha juu. Katakata vipande vidogo. Kwa wale wenye mashine ya juicer ya kukamua juice bila kuweka maji.Kata kipande cha nanasi kama robo hivi na kamua ile juice yenyewe bila kuweka maji.Kama huna juicer saga kwenye blander kwa kuweka maji kidogo sana.Ichuje juice ishanganye na...

Usindikaji wa unga mchanganyiko wa lishe

Tunawapenda watoto wetu, na afya yao nifuraha yetu wazazi. Ni vizuri tukiandaa unga wa uji wa watoto kwa kuzingatia uwiano wa virutubishi ambavyo ni msingi mkuu wa afya za watoto wetu. Mtu yeyote anaweza kuandaa unga huu kama atazingatia maelezo yote kwa ufasaha. Ubora wa unga mchanganyiko hautegemei wingi wa aina za nafaka zilizotumika bali...

Tatizo la Watoto Ambao Hawapendi Kula

Ili mtoto akuwe vizuri lazima apate virutubishi na nguvu za kututosha. Yafuatayo ni makundi ya vyakula yatakayoweza kumsaidia mtoto apate virutubishi na nguvu anazohitaji hivyo kukua vizuri. Hakikisha kila mlo wa mtoto una mchanganyiko wa vyakula kutoka kila kundi kama ilivyo hapo chini. Nafaka, vyakula vya mizizi, na ndizi: vyakula hivi vina wanga kwa wingi...

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read