30 C
Dar es Salaam

Dondoo

Mambo Manne Kwanini Watoto Hutingisha Kichwa Kila Mara

Mambo Manne Kwanini Watoto Hutingisha Kichwa Kila Mara Umeshawahi kubeba watoto au kuona watoto wachanga na ukagundua kila mara huwa wanatingisha kichwa na hawatulii? Yaani muda aliotulia ni pale anapokuwa amelala ila akiwa macho ni kujitingisha mwanzo mwisho hii huwa ni nini? Kitu chochote ambacho mtoto atakifanya alafu hatukijui huwa kinatufanya tuogope na kuanza kuwaza...

Sheria 6 za familia ambazo wazazi wanatakiwa kuziweka.

Sheria 6 za familia ambazo wazazi wanatakiwa kuziweka. 1. Kula Chakula Pamoja Familia ambayo inakula chukula pamoja hukaa pamoja. Kula chakula pamoja huwa inasaidia wanafamilia kuwa karibu sana na kushare mambo yao ya siku nzima kwa pamoja. Ila sasa wakati wa kula kuna baadhi ya sheria ambazo unatakiwa kuweka - Kula chakula kwenye meza ya kulia chakula...

Tips za Kulea Mtoto Wa Kike

Tips za Kulea Mtoto Wa Kike Watoto wa kike huwa wana speed ya hatari sana. Kwanza huwa wanaanza kuongea mapema utakuta anaongea sanaaa na kupiga kelele kila mara, mara anataka kugusa hiki na kile yaani ni balaa kila kona ya nyumba. Basi zifuatazo ni tips ambazo unaweza kuzitumia wakati una mkuza huyu mtoto wa kike. Mfundishe Kuwa...

Tips za Kulea Mtoto Wa Kiume.

Tips za Kulea Mtoto Wa Kiume. Ok so umetoka kujifungua na umepata mtoto wako mzuri wa kiume. Good for You! so kwa kifupi tu wala sitaki kuongea maneno mengi nataka nikupe tips mbili tatu ambazo unaweza kuzitumia wakati unamlea huyo little boy. Mpe Majukumu. Kufata maelekezo na kumaliza kazi wanazopewa wavulana hii kitu huwa ni changamoto sana...

KUMPA MTOTO HELA…VITU GANI UNATAKIWA KUJUA

KUMPA MTOTO HELA. VITU GANI UNATAKIWA KUJUA Kwanza Kwanini Umpe Mtoto Hela? Ili mtu ujue kuendesha baiskeli unahitaji uwe na baiskeli. je ukitaka kujifunza thamani ya Pesa na matumizi unahitaji nini? Pesa. kwa kumpa mtoto hela ni njia moja wapo ili ajifunze jinsi ya kutumia hela na thamani yake na kujifunza pia jinsi ya kuweka akiba...

Njia Rahisi za Kufundisha Mtoto Wako Thamani ya Pesa

  Njia Rahisi za Kufundisha Mtoto Wako Thamani ya Pesa. Watoto wakishapata uelewa huwa unaweza kuanza kuwafundisha jinsi ya kutumia pesa na kuijua thamani ya pesa. Ila sasa tutawafundishaje hawa watoto jinsi ya kuthamini hizo pesa, maana siku hizi mtoto hata hajafikisha umri wa kushika pesa tayari kaishajua shilingi mia inavyofanana. Nenda Nae Bank. Kwenda na mtoto bank...

Jinsi ya Kumfundisha Mtoto Wako Kushare Vitu na Wenzake

Jinsi ya Kumfundisha Mtoto Wako Kushare Vitu na Wenzake Hawa watoto wetu bwana wengine yaani tabia za kichoyo sijui huwa wanazitolea wapi. Yaani sijui unakuta mtoto mchoyo tu hapendi kushare vitu vyake. Sasa nataka nikupe njia ambazo unazoweza kumfundisha mtoto wako kushare vitu na wenzake ili aondokane na tabia ya uchoyo. Fanya Mazoezi ya Kupokezana. mtengenezee mazingira...

MAZINGIRA HATARISHI YA MTOTO KUCHEZEA

  Si kila mazingira watoto wanatakiwa kucheza karibu ni hatarishi kwa afya na ukuaji wao. Wazazi na walezi tunatakiwa kua makini sana na hayo mazingira si mazuri hakika. Mazingira mengine yanaweza kuwalea watoto katika tabia mbaya na za ajabu sana sisizo nzuri kabisa kwa umri hao na huweza kuwa badili kabisa kitabia huko mbeleni. Mazingira hayo...

JINSI YA KUZUIA MTOTO KUKOJOA KITANDANI

Mtoto kukojoa kitandani inazuilika na mara nyingine sio hata ugonjwa ni malezi tu. Ingawa mara nyingine hua ni ugonjwa na huitaji ushauri wa daktari na hutibika kabisa. Hapa tutaangalia njia za kuzuia mtoto kukojoa kitandani kwa wale ambao hawana matatizo ya kitabibu; Njia ya kwanza ni kuthibiti unywaji wa vimiminika masaa machache kabla ya...

KUWA MAKINI NA AINA YA MITINDO YA NYWELE KWA WATOTO

Nikweli watoto wanatakiwa kupendeza kuanzia mavazi hadi nywele zao zinatakiwa kua safi na nadhifu. Lakini ni mitindo gani? sio kila mtindo mtoto anatakiwa asukwe mingine ni ya kikubwa sana unamkomaza tu mtoto iepuke. Kwa mfano mtoto chini ya miaka 10 amesukwa yeboyebo kubwa na marangi ya rasta mengi kichwa hii sio sahihi jamani. Watoto...

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read