30 C
Dar es Salaam

Elimu na Shule

UMUHIMU WA WATOTO KULALA MCHANA

Wazazi wengi huwalazimisha watoto kulala mchana bila kujua umuhim wa kufanya ivo, wengine hawajui na wala hawafanyi jitihada za kuwalaza watoto mchana. Wengine hufanya ivo kupunguza vurugu na mikimiki ya watoto, Wengine wanafanya kwa sababu ya mazoea, kuiga kwa majirani na sababu nyingi zingine. Tambua umuhim wa mtoto kulala mchana; Husaidia ukuaji wa mtoto...

VITU HATARISHI VIWEKWE MBALI NA WATOTO

Watoto tofauti na watu wazima wanatabia ya kutaka kujua kila kitu na kwa umri fulani wanapenda kula kila wanachokiona bila kujali mazingira waliopata kitu icho. Ni hatari sana kipindi icho wazazi na walezi unabidi wawe makini kuliko kawaida,epuka vitu vifuatavyo; Kuweka dawa za wadudu,mimea,wanyama karibu na mazingira ya watoto. Kwa mfano dawa ya panya. ...

MALEZI YANAHITAJI MACHO ZAIDI YA MAWILI

Kuna haja ya wazazi na jamii kiujumla kuwalea watoto kwa jicho la tatu katika kizazi hiki cha Zana za taarifa (Information Age). Kuna kila aina ya taarifa mitandaoni, kwenye vipindi vya luninga na Redio. Hizi taarifa hazichunjwi kwa kiasi kikubwa, hii ni hatari sana kwenye kutengeneza fikra na ukuaji wa watoto. Kuna taarifa ambazo...

USAFI WA MAMA ANAENYONYESHA

Kipindi unanyonyesha kuna usafi unahitajika lakini usafi huo pia unatakiwa uwe wa kiafya  ili kumlinda mtoto na maambukizi ya bacteria na mambo mengine. Usafi huo ni wa kipekee tofauti sana na maziwa ambayo sio hanyonyeshwi. Zingatia mambo yafuatayo kuhakikisha usafi wa maziwa kwaajili ya afya yako na mtoto pia; Usioshe maziwa au matiti yako...

JINSI YAKUMSAIDIA MWANAO KAZI ZA SHULE (HOMEWORK).

Si kila mara atakaporudi mwanao na kazi za shule yani homework atakua na uwezo wakujisimamia mwenyewe nakuzifanya kwa usahihi, ni vizuri wewe kama mama uwe unapata nafasi yakumsaidia mwanao na kazi za shule na hata kama haupo kumsaidia ila kuwa na mda wakumsimamia na kumuangalia ili kuhakikisha anafanya kazi zake za shule kwa muda. Usimlemaze...

JINSI YA KUMSAIDIA MWANAO KUA NA UFAULU MZURI SHULENI.

Swala zima la elimu ya mwanao ni kipaumbele kwako wewe na nijukumu lako wewe mzazi,ila wazazi wengi tunajisahau nakuzani jukumu hili nila shule na walimu wa shule hizi,ila ukweli ni kwamba swala zima la elimu ya watoto wetu na ufaulu wao ni jukumu letu wazazi. Wazazi wengi tunatafuta shule bora tu nakuwaweka watoto huko...

Njia za Kumfanya Mtoto wako Apende Shule

Njia za Kumfanya Mtoto wako Apende Shule Kila mzazi huwa anapenda mtoto wake apende kwenda shule. Kwa baadhi ya watoto hali ya kupenda shule huwa inakuja kama kawaida na mtoto yeye mwenyewe anakua anapenda kwenda shule, na kuna wengine ambao wanahitaji msaada kidogo ili wapende kwenda shule. Haijalishi mtoto ni wa aina gani, ila kuna njia...

Jinsi ya kuchagua shule nzuri kwa ajili ya mtoto wako

Jaribu kuhusisha suala ya kuchagua shule kwa ajili ya mtoto wako na jinsi unavyomchagulia daktari. Bila shaka unahitaji muda na nguvu nyingi ili uweze kufanya maamuzi yanayofaa. Huenda utauliza majirani, utatembelea hospital kadhaa, utaomba ushauri kutoka kwa wazazi wengine. Unapaswa kufanya vivyo hivyo unapochagua shule. Kutakuwa na shule nyingi za kuchagua hasa kwa  kuwa unataka...

Uzinduzi Wa Active Toto Zone Day Care Centre

Huu ulikuwa uzinduzi wa shule ya awali pamoja na Day Care Centre & English Medium iitwayo ActiveToto Zone. Watoto pamoja na walimu walicheza pamoja na kuimba mbele ya wazazi wenye watoto walioanza masomo shuleni hapo.  

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read