30 C
Dar es Salaam

Makala Maalumu

Featured posts

UNAMFAHAMU WORLD’S YOUNGEST MOTHER??SOMA HAPA KAMA HUMJUI!!

Umeshasikia mtoto kapata mtoto,huyu ndio anashikilia record ya dunia kwa kuzaa akiwa na umri mdogo. Lina Medina mtoto wa miaka mitano (5)....wa Ticrapo nchini Peru mwaka 1939 alizaa mtoto wa kiume na akaitwa Gerardo.Wazazi wake walidhani ana uvimbe tumboni alipopelekwa hospitali kupimwa akakutwa na ujauzito wa miezi saba. Lina alikuwa mtoto wa kawaida kama watoto wengine...

House Girl Wa Mtoto

  House Girl Wa Mtoto. Nadhan tunaposikia neno ‘house girl’ au msaidizi wa kazi za ndani si neno geni miongoni mwetu sote. Leo tuzungumzie kuhusu housegirl au msaidizi wa kazi za ndani ni nani? Kutokana na kukosekana kwa muda(ubize) wazazi wengi wamekuwa wakiajiri mdada kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za nyumbani ikiwemo kutunza watoto. Katika Makala yetu...

Mambo ya kufahamu kuhusu ulalaji wa mtoto.

Usingizi unaweza kuwa moja ya masuala ya ambayo ni magumu sana kwa wazazi wapya. Kama wengi wetu hujifunza kwa njia ngumu ambapo usiku hugeuka kuwa mchana na makelele nyumba nzima. Baadhi watoto wachanga husherehekea usiku na kulala mchana mzima. Watoto wengi huja duniani na siku zao na majira ya tofauti kabisaa, Hivi vitoto vidogo jamani vinalala...

Mwaka wa kwanza wa mtoto na vitu vyakutegemea

  Mwaka wa kwanza wa mtoto na vitu utakavyotegemea. So umekua ukisubiri kuwasili kwa mtoto wako katika hii dunia kwa miezi tisa iliyopita eh? Kuangalia mtoto wako mpya jinsi anavyokua  na kubadilika ni moja ya nyakati za kusisimua zaidi katika maisha yako.Kama Mama mpya,najua utakua unajiuliza juu ya mambo mengi ni jinsi gani utamlea huyo mtoto. Je...

Nilipomzaa mtoto wangu Zion, Changamoto Zilikuwa ni Nyingi!

Mwanangu anaitwa Zion Reuben Ndege alizaliwa tarehe 16 feb 2014 katika hospital ya Doctors Plaza kwa Dokta Kapesa ya Mbezi Beach, Majira ya saa saba na dk kumi na saba mchana siku ya Jumanne. Kabla ya kuzaliwa mimi na baba yake tulikubaliana ni muda umefika tupate mtoto.Na kweli Mungu akatujaalia nikashika ujauzito na ilikuwa ni...

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read