30 C
Dar es Salaam

Mama Kijacho

ANGALIA MANENO YA KUONGEA UKIWA MJAMZITO!!

Wanawake wengi hudhani malezi ya mtoto huanza akishazaliwa na wengine huenda mbali zaidi na kuhisi mtoto analelewa na kufundishwa akifika umri fulani, hayo mawazo yote  yanaukweli ila sio sahihi. Malezi ya mtoto huanza pale tu mimba inapotungwa na hivyo yakupasa kujua namna ya kulea kitu usichokiona, na ujue tu mna mawasiliano ya moja kwa...

VIASHIRIA KWAMBA UNATAKIWA KUACHA KUFANYA MAZOEZI NA KUMUONA DAKTARI WAKO.

Habari yako ndugu msomaji,naamini upo salama kabisa na umepata nafasi nyingine njema yakujifunza na mimi. Tumekua na mjadala mfululizo wa swala zima la mazoezi kwa mama mjamzito na leo nataka tuone kwa kifupi kabisa viashiria ambavyo ukiviona kama mama kijacho inabidi uache mazoezi nakumuona daktari na kumuelezea viashiria hivyo. Maumivu makali ya kicha wakati...

MAZOEZI AMBAYO MAMA MJAMZITO HARUHUSIWI KUFANYA.

Katika makala yetu iliyopita tulijaribu kujifunza umuhimu wa mama mjamzito kufanya zoezi na aina ya mazoezi ambayo anaweza kuyafanya na yakawa afya kwake na mtoto. Ila leo natamani tuangalie mazoezi ambayo mama mjamzito hashauriwi kufanya ili kuepuka madhara kwake na kwa mtoto. Kumbuka kila kitu kina faida yake na hasara yake. MAZOEZI YASIO SHAURIWA/KURUHUSIWA KWA...

MAZOEZI SAHIHI KWA MAMA MJAMZITO

Katika makala iliyopita tulijaribu kuona umuhimu wa mama kijacho kufanya mazoezi,ambayo ni pamoja na kuwa na uwezo wakupata usingizi mzuri,kujengeka kiafya yeye na mtoto lakini pia husaidia kupunguza mawazo ila zaidi humuandaa mama kijacho kwa ajili ya kujifungua pasipo maumivu kwani misuli hujengeka vyema kumsaidia kujifungua kwa njia ya kawaida. Basi si kila mazoezi ni...

UMUHIMU WA MAZOEZI KWA MAMA MJAMZITO.

Mazoezi ni muhimu sana kwa afya zetu,mazoezi ni muhimu pia kwa mama mjamzito tena sana. Na ndo maana washauri wa afya wanasisitiza wamama wajawazito kujitahidi kufanya mazoezi ya mwili kwa ajili ya afya zao na kusaidia ukuaji wa mtoto kwa afya zaidi. Watu wengi wamekua wakipuuza swala hili la mazoezi kwa mama wajawazito na...

VITU VYAKUMSAIDIA MAMA MJAMZITO KUONGEZA HAMU YA CHAKULA.

Naamini una afya njema ukiendelea kujifunza pamoja nami. Lipo tatizo la kukosa hamu ya chakula ambalo huwapata watu wengi sana,hususani watu wenye mawazo,watu waliochoka sana au watu wenye udhaifu mwilini kutokana na kupata magonjwa flani flani. Ila pia wamama wajawazito hili tatizo huwakumba na kupelekea kuwa wadhaifu kutokana na mwili kutokupata lishe yakutosha. Kama unapatwa na...

Jinsi ya Kumhudumia Mtoto Mchanga

ZAMANI kulikuwa na utamaduni wa binti akijifungua anaenda nyumbani kwa mama /mama mkwe/dada etc walio na uzoefu ili wapate usaidizi na maelekezo ya hapa na pale juu ya malezi ya mtoto tangu kujifungua, ila kutokana na hali ya maisha kubadilika hasa mijini ambapo wengi hata baada ya kujifungua hubakia nyumbani kwake na mumewe/ mchumba...

Malaika Wangu, Shujaa Wangu

Nilishika mimba mwezi june 2013. Ilipofika mwezi wa tisa mwishoni nikaenda hospitali kufanya ultra sound ya kwanza na kuanza rasmi clinic. Daktari wangu akaona kwamba tumbo langu ni kubwa kuliko umri wa mimba. Nilipoenda kwenye ultra sound nikagundulika kwamba nina mimba ya mapacha. Mimba yangu haikua na matatizo zaidi ya kwamba nilitapika kwa muda wote...

Upungufu wa damu kwa wajawazito

Mwanamke anapokua na ujauzito maana yake ni kuwa amebeba kiumbe ambacho kinamtegemea yeye kwa kila kitu yaani chakula na hewa safi. Ili kuweza kufanya vyema kazi ya kusafirisha virutubisho na hewa safi kwenda kwa mtoto aliye tumboni mwili wa mwanamke mjamzito hutengeneza kiasi kikubwa cha damu ili kuweza kufanya kazi vizuri. Ili mwili uweze kutengeneza...

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read