30 C
Dar es Salaam

Saikolojia

UMUHIMU WA KUMTAZAMA MTOTO KIPINDI UNAMNYONYESHA.

Unavomnyonyesha mtoto unakua  unawasiliana moja kwa moja na yeye bila wewe kujua. Inashauriwa kumwangalia mtoto wakati unamnyonyesha kwa sababu < Unakua unaonesha upendo kwake < Unaonesha ushirikiano < Nakwamba unamjali na kufurahia kile anachofanya. Weka tabasamu ukiwa unamwangalia kwa maana unajenga hisia za upendo kwake kumbuka kwamba kwa kila unachofanya kwa mtoto kinamjenga kama tunavojua kwamba malezi ya...

Jinsi ya kuboresha mahusiano kati ya mtoto wa kike na Baba Yake.

Jinsi ya kuboresha mahusiano kati ya mtoto wa kike na Baba Yake. Wakati wakina baba huwa wanawapenda watoto wote wa kike na wa kiume, ila kama vile huwa inaoneka wanatumia muda mwingi na watoto wa kiume. Labda kwa sababu wanafikiri kwamba wana vitu vingi ambavyo wanafanana na watoto wao wa kiume. Ila wakina baba wanaweza kuwa...

Jenga Mahusiano na ukaribu na mtoto wako mchanga!

Jenga mahusiano karibu na watoto mchanga. Kujenga mahusiano ya karibu na mtoto wako ni kitu muhimu sana hasa wakati bado ni mdogo. Kujenga mahusiano ya karibu na mtoto wako mdogo hapa ninamaanisha ni ile hali ya wewe kuwa karibu sana na mtoto wako, ni ile hali inayokufanya wewe uwe na shauku ya kumuogesha, kumlisha, kumuimbia...

Je Kama Mzazi hii unaiongeleaje?Ina ukweli?

Inasemekana  kama mtoto anakuwa anakusumbua kwa makusudi ni kwamba anataka umjali.Anataka umpe attention pengine upo busy na mambo yako na siku hizi simu za mikononi unakuwa busy nayo na yeye anataka umuone...plss usipuuze fatilia na ufanyie kazi. Kama unapitia usumbufu wa makusudi toka kwa mtoto basi anataka umjali,umsikilize,umkumbatie,umbusu,umsemeshe,umfatilie na kutazama anachokuonesha au kufanya.

Adhabu Stahili kwa Mtoto ni zipi?

Adhabu ya viboko kwa mtoto imekuwa na mtazamo tofauti kwa baadhi ya watu na imeleta mijadala mingi sehemu mbalimbali nchini na nchi zingine pia. Wapo ambao huona ni sahihi mtoto kuchapwa anapokosea, wapo wengine wanaounga mkono mtoto kuchapwa viboko lakini kwa masharti, wapo pia wanaoamini matumizi ya njia nyingine mbadala ya kumuadhibu mtoto ni...

Jiunge na Mtoto Magazine

0FansLike
1,680FollowersFollow
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -

Must Read